Rais wa Misri Abdel Fatah al Sisi aahidi adhabu kali kwa magaidi waliohusika na ashambulizi dhidi ya mskiti lililopelekea vifo vya watu zaidi ya 230 Sinai
Rais wa Misrii Abdel Fatah al Sisi ameahidi adhabu kali kwa magaidi waliohusika na shambulizi walilotekeleza katika mskiti wakati wa kutekelezwa ibada ya Ijumaa.
Watu 235 walifariki na wengine zaidi ya 130 kujeruhiwa katia shambulizi lililolenga mskiti wa al Arish unaopatikana Sinai nchini Misri.
Jeshi la Polisi litatoa jibu linalostahili kwa waliotekeleza shambulizi hilo.
No comments:
Post a Comment