Waziri mkuu wa Isreal katika hafla ya kutawazwa Uhuru Kenyatta kuwa rais wa Kenya alifahamisha kuwa Israel inatarji kufungua ubalozi wake nchini Rwanda.
Taarifa hiyo kuhusu kufunguliwa kwa ubalozi wa Israel nchini Rwanda inaonesha kuwa ushirikiano bain aya Rwanda na Israel unazidi kuimarika.
Katika mazungumzo yake na viongozi wa bara la Afrika, Netanyahu a alizungumza pia na rais Paul Kagame.
Netanyahu amesema kuwa Paul Kagame ni mhandisi katika kuboresha ushirkiano bain aya Israel na bara l a Afrika.
Rwanda ni taifa mshirika wa Israel.
Ikumbukwe kuwa Rwanda haikuonesha msimamo wake baraza la usalama la Umoja wa mataifa lilipo omba kura ipigwe kuitaka Israel kusitisha kukalia kimabavu ardhi ya wapalestina.
No comments:
Post a Comment