Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo ametembelea na kutoa pole kwa Familia ya Wastaafu ya Bwana Edward Bejumula na Bi. Stella Bejumula walioteseka kwa Miaka Sita bila Makazi baada ya kudhulumiwa Nyumba yao ambapo ameahidi kulivalia njuga suala hilo kuhakikisha haki inatendeka bila kuvunja sheria.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI .....USISAHAU KUSUBSCRIBE
No comments:
Post a Comment