Klabu ya Barcelona usiku wa kuamkia Leo imefanikiwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Mfalme maarufu kama Copa del Rey kwa ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Espanyol .
Magoli ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi na Luis Suarez ambapo kwa matokeo hayo Barca imefuzu kwa jumla ya tofauti ya goli 2-1 baada ya mechi ya kwanza Barcelona kufungwa goli 1-0.
Barcelona imeungana klabu ya Valencia, Sevilla na Leganes ambazo zote zimefuzu juzi
No comments:
Post a Comment