IKIWA ni saa chache baada tu ya kutua Arsenal akitokea Manchester United, Henrikh Mkhitaryan amesema atatumia jezi ya Man U ili kusaidia matibabu ya watoto wa Armenia walioathirika kwa saratani.
Mkhitaryan amekabidhiwa jezi ya Arsenal jana huku Sanchez akikabidhiwa jezi ya Man United United huku wakibadilishana miji kutoka London kwenda Manchester.
“Katika kuwashukuru wote waliochangia katika filamu ya simulizi yangu, nitatoa jezi la klabu ya Manchester United lililosainiwa na wachezaji ili kuwasaidia watoto wa Armenia walioathirika kwa saratani,”amesema Henrikh Mkhitaryan
No comments:
Post a Comment