
Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA umesema kuwa umejiridhisha kuwa Serikali ya awamu ya Tano sio serikali ambayo inafuata utawala bora, kuzingatia haki za binadamu huku ikivunja katiba.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSBUSCRIBE
" Serikali inabana wazi kuzungumzia na kuikosoa, hata nyinyi wandishi hampo Salama, ndio maana mwenzenu azory Mpaka sasa hajapatikana na serikali haijatoa tamko lolote" amesema Mbowe.
Mbowe pia alizungumzia uchaguzi mdogo wa madiwani ambapo Kata 43 zilifanya uchaguzi huku ccm ikishinda Kata 42 na Chadema walishinda moja.
Alisema viongozi wao wakiwemo wabunge, madiwani na wagombea wa upinzani walikua wakikamatwa na kuwekwa ndani huku wasimamizi wao wakitolewa nje ya vyumba vya Kura jambo ambalo ni kinyume na katiba ya nchini.
No comments:
Post a Comment