KIUNGO mkongwe wa Barcelona, Andres Iniesta amesema hana hofu kuhusu
Neymar kujiunga na Real Madrid lakini akakiri kuwa ikitokea hivyo
haitampendeza kutokana na uhusiano wa Neymar na mastaa wengine wa
Barcelona wakati alipokuwa akiichezea timu hiyo.
Iniesta amecheza na Neymar kwa miaka minne kabla ya mchezaji huyo kuondoka na kuhamia Paris Saint- Germain lakini kumekuwa na taarifa za kuwaniwa kwa ukaribu na Real Madrid.
“Chochote kinaweza kutokea kwenye soka, kuna mambo ambayo yalionekana ni magumu kutokea na yakatokea, sitashangaa lakini haitapendeza kwa kuwa kwa kuwa ni mchezaji mzuri lakini sina hofu,” alisema Iniesta.

No comments:
Post a Comment