Ghasia zazuka mbele ya ubalozi wa Marekani baina ya waandamanaji na Polisi katika maandamano mjini Beyruth nchini Lebanon.
Ghasia rimeripotiwa kutokea mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Beyruth nchini Lebanon.
Maandamano hayo ymaefanyika kwa lengo la kuonesha ghadhabu kufuatia uamuzi wa Marekani kutangaza kutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.
Polisi ililazimika kutumia gesi ya kusababisha machozi ili kuwasambaratisha waandamanaji waliokuwa wakielekea katika ubalozi wa Marekani.
No comments:
Post a Comment