Tuesday, 5 December 2017

TANGAZA BIASHARA YAKO NA WINOKEMEDIA360

Tangaza Biashara yako nasi ili uweze kufikia malengo uliyo jiwekea katika Biashara yako, WINOKEMEDIA360 inauwezo mkubwa sana wa kuitangaza Biashara yako yoyote ile.

Kama vile
Maduka / Bidhaa
Makampuni na Mashirika
Shule / Vyuo
Viwanja / Mashamba
Nyumba / Apartment
Hotel / Restaurant
Mikutano / Sherehe

Bei zetu ni nafuu sana mawasiliano nasi 0675762540 Au 0688108760 Kwa Namba Ya Whatsapp.

Madhara ya kujichubua

Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya kiwango,

hii hupelekea watu hawa kutumia ving´arisha ngozi kama krimu, vidonge au nyenzo zingine kubadilisha ngozi zao.

 Tafiti zinaonyesha kwamba wavulana na wasichana hupendelea kutumia bidhaa zinazong´arisha ngozi ili waweze kupata hadhi nzuri katika kundi la familia zao, na jamii. Kwa kweli,hata matangazo yanayoonyeshwa kwenye televisheni mbalimbali huonyesha kitu hiki. Mambo hayo yote huwa na athari kubwa juu ya mawazo ya vijana wa kiume na wakike ambayo hupelekea kuwafanya wachague chochote wanachomudu kati ya krimu au vidonge.

Madhara ya kujichubua ni yapi?
Mtu anaeyejichubua anaweza kupata kansa ya ngozi, chunusi, uvimbe katika ngozi, ngozi kuwa nyembamba,Kuongezeka kwa hamu ya kula na uzito,kutokwa na mabaka, pumu, kupata watoto wenye kasoro, kupata matatizo ya akili, kuharibika kwa ini, kuharibika kwa mishipa ya fahamu pamoja na figo kutokana na kiwango kikubwa cha zebaki(mercury) kilichomo katika krimu,Osteoporosis(kupungua kwa uzito wa mifupa ambapo huongeza hatari ya kuvunjika kwa mifupa)

Baadhi ya madhara haya huonekaa mara moja na mengine hujitokeza kadri mtu anavyotumia ving´arisha ngozi.

Polisi Dodoma kuhusu jamaa aliyetengeneza tukio la kuvamiwa

Polisi Dodoma kuhusu jamaa aliyetengeneza tukio la kuvamiwa

Video | Young Killer Msodoki – Hujanileta | Mp4 Download

Video | Young Killer Msodoki – Hujanileta | Mp4 Download
Young Killer Msodoki – Hujanileta
Video | Young Killer Msodoki – Hujanileta | Mp4 Download

                                                  DOWNLOAD NOW

Audio | Young Killer Msodoki – Hujanileta | Mp3 Download

Audio | Young Killer Msodoki – Hujanileta | Mp3 Download
Young Killer Msodoki - Hujanileta
Audio | Young Killer Msodoki – Hujanileta | Mp3 Download

                                                DOWNLOAD NOW

Monday, 4 December 2017

AJIBU Azua Hofu Yanga,Lwandamina Apagawa

AJIBU Azua Hofu Yanga,Lwandamina Apagawa

MKE WA CLOUD 112 AHIDI MAPINDUZI MAKUBWA BONGO MOVIE

MKE WA CLOUD 112 AHIDI MAPINDUZI MAKUBWA BONGO MOVIE

Taa ya Dr. Shika yazidi kuwaka.. kaandaliwa Tamasha time hii

Taa ya Dr. Shika yazidi kuwaka.. kaandaliwa Tamasha time hii

JIONEE!! Ubomoaji wa jengo la TANESCO Ubungo unaendelea

JIONEE!! Ubomoaji wa jengo la TANESCO Ubungo unaendelea

BREAKING: IGP wa Tanzania na Rwanda wakutana DSM

BREAKING: IGP wa Tanzania na Rwanda wakutana DSM

BREAKING:CUF wazungumzia aliyekuwa mbunge wa K'ndoni kuhamia CCM

BREAKING:CUF wazungumzia aliyekuwa mbunge wa K'ndoni kuhamia CCM

BLACK MOONLIGHT 01 KISWAHILI VASCO DJ

BLACK MOONLIGHT 01 KISWAHILI VASCO DJ

BLACK MOONLIGHT 02 KISWAHILI VASCO DJ

BLACK MOONLIGHT 02 KISWAHILI VASCO DJ