Thursday, 30 November 2017

Eto'o afunguka kuhusu Taarifa za kukodi Ndege Libya

Eto'o afunguka kuhusu Taarifa za kukodi Ndege Libya

Nyumba zilizobomolewa Kinondoni "hii ni hasira tu"

NAPE: "Muda mwingine Wanasiasa tunawasha moto tunashindwa kuuzima"

NAPE: "Muda mwingine Wanasiasa tunawasha moto tunashindwa kuuzima"

Mtanzania mwenye ulemavu kajichanga kwa miaka 3 na kupata mil 1.9 anunue pikipiki ya biashara

Mtanzania mwenye ulemavu kajichanga kwa miaka 3 na kupata mil 1.9 anunue pikipiki ya biashara

Madereva DANGOTE wafunguka kuhusu kununua kazi

Madereva DANGOTE wafunguka kuhusu kununua kazi

EBITOKE TENA: Kuhusu uhusiano wake na Ben Pol

EBITOKE TENA: Kuhusu uhusiano wake na Ben Pol

Singeli Video | Motokombati – Doli Doli | Mp4 Download

Singeli Video | Motokombati – Doli Doli | Mp4 Download

Motokombati - Doli Doli

Singeli Video | Motokombati – Doli Doli | Mp4 Download

                                                        DOWNLOAD HERE

Audio | Timbulo – Vibaya | Mp3 Download

Audio | Timbulo – Vibaya | Mp3 Download

Timbulo - Vibaya

Audio | Timbulo – Vibaya | Mp3 Download

                                                     DOWNLOAD HERE

Instrumenta Beat | Giggy Money Ft Mario – Papa | Mp3 Download

Instrumenta Beat | Giggy Money Ft Mario – Papa | Mp3 Download

Giggy Money Ft Mario - Papa

Instrumenta Beat | Giggy Money Ft Mario – Papa | Mp3 Download

                                        DOWNLOAD HERE

Audio | Skiibi – Ogume | Mp3 Download

Audio | Skiibi – Ogume | Mp3 Download

Skiibi - Ogume

Audio | Skiibi – Ogume | Mp3 Download

                                       DOWNLOAD HERE

Audio | Sniper – Sikomi (Cover ) By Diamond Platnumz | Mp3 Download

Audio | Sniper – Sikomi (Cover ) By Diamond Platnumz | Mp3 Download

Sniper - Sikomi (Cover ) By Diamond Platnumz

Audio | Sniper – Sikomi (Cover ) By Diamond Platnumz | Mp3 Download

                                                         DOWNLOAD HERE

Audio | KrizBeatz Ft Sauti Sol – Maira | Mp3 Download

Audio | KrizBeatz Ft Sauti Sol – Maira | Mp3 Download

KrizBeatz Ft Sauti Sol - Maira

Audio | KrizBeatz Ft Sauti Sol – Maira | Mp3 Download

                                       DOWNLOAD HERE

Zimbabwe: Mpinzani wa Mugabe afutiwa kesi

Harare, Zimbabwe. Mchungaji mwanaharakati Evan Mawarire aliyeshtakiwa mahakamani kwa jaribio la kutaka kumpindua Robert Mugabe wakati wa mgomo uliodhoofisha usafiri katika miji yote mikubwa amefutiwa mashtaka.

Uamuzi huo umekuja wiki moja tangu Mugabe, aliyetawala Zimbabwe tangu ilipopata uhuru mwaka 1980, alipojiuzulu kutokana na shinikizo la jeshi.

"Hakuna ushahidi kuthibitisha kwamba yeye (Mawarire) alihimiza machafuko ya kuiondoa serikali," alisema katika hukumu yake Jaji wa Mahakama Kuu Priscilla Chigumba.

Jaji alisema Mawarire alihimiza mgomo usio na machafuko yakiwa ni majibu kutokana na mgogoro wa kiuchumi.

Mawarire aligeuka na kuwa taswira ya maandamano ya kumpinga Mugabe mwaka jana aliposambaza video yake katika wavuti akiwa amejifunga bendera ya taifa huku akilalamikia matatizo ya Zimbabwe.

Video hiyo ilitumika kushawishi vuguvugu lililoitwa BenderaHii na kusababisha migomo nchi nzima. Serikali ilijibu kwa kupiga marufuku maandamano ya mitaani jijini Harare katika kile ilichoita ni “matumizi mabaya” ya bdenera.

"Safari nzima imekuwa upuuzi," Mawarire aliwaambia wanahabari.

"Sikuwa mtu wa kupandishwa kizimbani. Sikutakiwa hata kutumia miezi 11 nikijaribu kujitetea juu ya haki zangu kikatiba,” alisema.

Pia Manawire amemuonya rais mpya Emmerson Mnangagwa, veteran wa chama tawala cha Zanu-PF kwamba asithubutu kukaba koo haki za watu.